God's Simple Plan of Salvation in Swahili
(How to Be Born Again by Faith in Jesus Christ
and His Finished Work)
(The Gospel of Jesus Christ
e-Tract in Many Different Languages)
Thanks to Robert Ford Porter, Litt.D., Chairman,
Lifegate, Inc.,
Monrovia, for permission to use these wonderful tracts here on LCM.
This page provides the tract in Swahili. Check the links at the top of this page
to find the tract in other languages. I plan to add other languages soon. In the
meantime, if your native language is not found, please
click here to go to
Lifegate's
website that has more
languages available.
First, Who is Jesus, and What Did He Do?
Dear Precious Visitor,
As a pastor, minister of the gospel, and missionary, I cannot stress the
following enough. It is absolutely imperative that each person know exactly who Jesus
is and what He has done before they put their faith in Him. The Bible
warns that there is a false Gospel that promotes another 'Jesus.'
(Galatians 1:6-9 and 12 Corinthians 11:4) That gospel and Jesus can do nothing
for you but deceive you. The true Jesus that provides true salvation is
identified as follows.
Briefly and simply stated, Jesus is God the Creator who clothed Himself in human
flesh. (John 1:1-3, 14.) He is also the 'Lord' of Abraham (John 5:18, 8:56, and
10:30-33) who gave the Law to Moses (Exodus 3:14, John 8:58) in the Old
Testament. He was also resurrected bodily on the third day according to the
Scriptures. (Luke 24:36-43, John 20:26-29, and 1 Corinthians
15:3-4) This is the Jesus in whom our trust must be placed. (Romans 10:9-10)
You may click here to learn more
in detail about who Jesus was
and is, and what He did and is doing.
Rafiki yangu:Ninakuuliza
swali muhimu maishani mwako. Furaha yako ya milele au huzuni yako ya milele
inategemea jibu Ia swali hili. Swali ni hili:Je,
umeokolewa?Si swali la jinsi ulivyo mwema,
wala si swali la kama u mshiriki wa kanisa, bali:Je,
umeokolewa? Una uhakika kwamba utaenda mbinguni utakapokufa?
Mungu anasema kwamba, ili uende mbinguni, ni
lazima uzaliwe mara ya pili. Katika Yohana 3:7, Yesu alisema kwa Nikodemo,
“Ni lazima uzaliwe mara ya pili.”
Katika Biblia Mungu anatupatia njia ya pekee ya
kuzaliwa mara ya pili, yaani kuokolewa.Njia yake ni rahisi! Unaweza kuokolewa
leo. Vipi?
Kwanza, rafiki yangu, ni lazima utambue kwambawewe
u mwenye dhambi.“Kwa sababu wote wamefanya
dhambi,na kupungukiwa na utukufu wa Mungu”(Warumi
3:23).
Kwa sababu u mwenye dhambi,umehukumiwa
kufa.“Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti”(Warumi
6:23). Hii ina maana kutengwa na Mungu katika jehanum milele.“Na
kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu”(Waebrania
9:27).
Lakini Mungu alikupenda mno hata
akamtoa Mwanawe pekee, Yesu, ili azichukue dhambi
zako na kufa pahali pako.“Yeye asiyejua
dhambi[Yesu, ambaye hakujua dhambi yo yote]alimfanya
kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika Yeye”(2
Wakorintho 5:21).
Ilimbidi Yesu amwage damu yake na kufa.“Kwa
kuwa uhai wa mwili u katika hiyo damu”(Mambo
ya Walawi 17:11).“. . . Pasipo kumwaga damu
hakuna ondoleo[msamaha]”(Waebrania
9:22).
“Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu
sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi”(Warumi
5:8).
Ingawa hatuelewi ni jinsi gani, Mungu alisema kuwa
dhambi zangu na dhambi zako ziliwekwa juu ya Yesu naalikufa
pahali petu.Yesu akawafidia
yetu[badala yetu].Ni kweli. Mungu hawezi
kusema uongo.
Rafiki yangu,“Mungu
. . . anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu”(Matendo
17:30). Kutubu huku au toba hii ni badiliko la nia akilini; kukubaliana na Mungu
kuwa mtu ni mwenye dhambi, na kukubaliana na yale aliyoyafanya Yesu kwa ajili
yetu msalabani.
Katika Matendo 16:30-31, mlinzi wa gereza wa
Filipi aliwauliza Paulo na Sila,“Mabwana,
yanipasa nifanye nini nipatekuokoka?Wakamwambia,mwaminiBwana
Yesu, nawe utaokoka . . . .”
Mwamini tu Bwana Yesu ambaye alibeba dhambi zako,
akafa badala yako, akazikwa, na Mungu alimfufua.Ufufuo
wake unahakikisha kwa nguvukuwa aaminiye
anaweza kudai uzima wa milele anapompokea Yesu kuwa Mwokozi wake.
“Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika
watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake”(Yohana
1:12).
“Kwa kuwakilaatakayeliitia
jina la Bwanaataokoka”(Warumi
10:13). Neno“kila”linakujumlisha
na wewe.“Ataokoka,”
maana yake si labda, au inawezekana, bali ni kwa
uhakika“ataokoka.”
Hakika, unatambua kuwa u mwenye dhambi? Po pote
ulipo sasa hivi, ukitubu, inua moyo wako kwa Mungu katika maombi.
Katika Luka 18:13, mwenye dhambi mmoja aliomba:“Ee
Mungu, uniwie radhimimi mwenye dhambi.”Basi
omba:“Ee Mungu, ninajua kuwa ni mwenye
dhambi. Ninaamini kuwa Yesu alikuwa fidia yangu alipokufa msalabani. Ninaamini
damu yake aliyomwaga, kufa kwake, kuzikwa kwake, na kufufuka kwake kulikuwa kwa
ajili yangu. Sasa ninampokea awe Mwokozi wangu. Asante kwa msamaha wa dhambi
zangu, zawadi ya wokovu na uzima wa milele, kwa sababu ya neema yako ya huruma.
Amina.”
Mwamini Mungu katika Neno lake, na dai wokovu wake
kwa imani. Amini, na utaokoka. Hakuna kanisa, wala jumba, wala matendo mema
yawezayo kukuokoa.Kumbuka, Mungu ndiye
aokoaye. Basi!
Njia rahisi ya wokovu ya Mungu ni:Wewe
u mwenye dhambi na usipomwamini Yesu ambaye alikufa pahali pako, utakaa milele
jehanum. Ukimwamini kuwa Mwokozi wako ambaye alisulubiwa, akazikwa, akafufuka,
utapokea msamaha wa dhambi zako zote, na utapokea zawadi [karama] ya uzima wa
milele kwa imani.
Unasema, “Kweli, haiwezi kuwa rahisi hivi.”Ndiyo,
ni rahisi hivyo! Ndivyo ulivyo mpango wa Mungu wa wokovu katika Maandiko.Rafiki
yangu, mwamini Yesu na kumpokea kuwa Mwokozi wako leo.
Ikiwa huu mpango wake wa wokovu hauko wazi au
haueleweki kwako, soma kijikaratasi hiki tena na tena, pasipo kukiweka chini,
mpaka umeuelewa ujumbe wake. Nafsi yako ni ya thamani zaidi kuliko vyote vya
ulimwengu.
“Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote,
akipata hasara ya nafsi yake?”(Marko 8:36).
Hakikisha kwamba umeokoka. Ukipoteza nafsi yako
utapoteza mbingu na utapoteza vyote. Tafadhali, mruhusu Mungu akuokoe sasa hivi.
Nguvu ya Mungu itakuokoa, itakulinda, na
kukuwezesha kuishi maisha ya ushindi ya Kikristo.“Jaribu
halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu;
ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu
atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili”(1
Wakorintho 10:13).
Usitegemee hisia zako – jinsi unavyojisikia. Hisia
zinabadilika-badilika. Simama juu ya ahadi za Mungu. Ahadi za Mungu hazibadiliki.
Ukiisha kuokoka, kuna mambo matatu ya kufanya kila siku ili ukue kiroho:Omba–
unazungumza na Mungu.Soma Biblia yako–
Mungu anazungumza nawe.Shuhudia–
waambie watu wengine kwa niaba ya Mungu.
Unapaswa kubatizwa katika utii kwa Bwana Yesu
Kristo kuwa ushuhuda wa hadhara wa wokovu wako, halafu, bila kuchelewa, jiunge
na kanisa ambalo linaamini Biblia.“Basi usiuonee
haya ushuhuda wa Bwana wetu . . . ”(2 Timotheo
1:8).
“Basi, kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, nami
nitamkiri mbele za Baba yangu aliye mbinguni”(Mathayo
10:32).
Ford Porter, Mwandishi
Copyright: Robert Ford Porter, 1991
Dear Beloved of God,
If you have read, understood, believed, and followed the
instructions given above, congratulations. Upon the Authority of the Word of
God, you should have the assurance that you have been born again!
Though it is by no means necessary, the Pastor of Windward Bible
Church (also the webmaster of LCM) would be encouraged to hear that you have
been saved by grace through face in Jesus Christ and His finished work. Please
drop him a short e-mail the tell him so (in English only as I cannot understand
any others). I assure you. Your e·mail address will not be placed on any mailing
list or shared with others, unless you specifically request it.
If you live in a Muslim or Communist country, or any other place
that may be hostile to the Good News of Jesus Christ and His finished work, I fully understand
that you may not want to have someone communicating back to you with e-mails
that could possibly be intercepted by others. Thus, I will not send you any
e·mails or anything else if you state that.
Yet, it is important that you tell someone about your new
faith in Christ. You should not be ashamed of who Jesus is to you now. (Psalm
107:1-2, Luke 9:26, Romans 1:16) If you
tell me, I will endeavor to pray for you and have those in our local assembly of
Windward Bible Church to also pray for you. The information on how to contact me
is available on my Contact Us page.
As a new member of God's personal family, you should seek out a
good church and fellow believers with whom to fellowship. You should also take
the first step in following the Lord as a disciple, which is identifying
yourself as a believer that has been born again by the spirit of God. That step
is simply following the Lord in believers baptism by immersion in water that
symbolizes your death to your old way of life, and your spiritual rebirth and
walking in the new life God has given you. (Romans 6:1-3)
If you live in an area where there is no church that faithfully teaches the
Bible, I suggest that you attend our services virtually by listening to our
messages in MP3 format posted here on LCM.
Click here to go to that page. We simply strive to explain the Scripture
verse by verse so that those that listen can grow and be transformed by the
miraculous teaching of God's word.
May the Lord help and encourage you as you now walk with Him.
Looking up for Him,
Walter Robinson II
Pastor of Windward Bible Church
and The Webmaster of LCM
February 2, 2004
Form to
Send Feedback to Pastor Robinson
Form to send feedback to Pastor Robinson. I would like to hear from you very much
-- especially if you were just born again by faith in Christ!
I am sorry, but I
can only
read and understand English

Visitors have viewed this page since
April 1, 2004
(NOTE: All preexisting page counters were
reset to
zero when my server crashed in March of 2004.
It took until April 1, 2004 to get them working again.)
Copyright © 2000 Last Chance Ministries. All rights reserved.
Revised: June 13, 2006.
|